Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...
Papa Francis akosoa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja kuwa "sio haki" lakini ni 'dhambi'
Papa Francis amekosoa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja kuwa "sio haki", akisema Mungu anawapenda watoto wake wote jinsi walivyo na kuwataka maaskofu wa Kikatoliki wanaounga mkono sheria ...
(Nairobi) – Kukana kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania kuhusu matamko ya chuki dhidi ya mapenzi ya jinsia moja yaliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ni hatua nzuri, lakini haitakuwa na ...
Kiongozi wa upinzani Uganda, Robert Kyagulanyi, ameshtumiwa vikali na wanasiasa wa pande zote nchini mwake kwa kuomba msamaha kuhusu msimamo wake wa awali juu ya masuala ya mapenzi ya jinsia moja.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results